Diamond Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kukosa Tuzo BET Awards 2021,Wazungu Wamgombania
69 意见
WorldViralMedia
06/30/21
CEO wa WCB #Wasafi Amefunguka kwa mara ya Kwanza baada ya Kukosa Tuzo ya BET Awards 2021,Diamond Amewashukuru Watanzania Kwa Sapoti Waliomuonyesha Pia Amejivunia Ushiriki wa Taifa lake Kwenye Tuzo hizo za #BETAwards #Diamondplatnumz Alikua Anawania Tuzo hiZo Kwenye Kipengele Cha The Best International Act
-
类别
显示更多
脸书评论
没有找到评论